Yobu 4:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Basi, nililetewa neno kwa siri, Sikio langu likasikia manong'ono yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia mnongono wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia mnongono wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia mnong'ono wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnong’ono wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnong’ono wake. Tazama sura |