Yobu 4:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Kunguruma kwake simba, na sauti ya simba mkali, Na meno ya simba wachanga, yamevunjika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. Tazama sura |