Yobu 39:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Upana wa milima ni malisho yake, Hutafutatafuta kila kitu kilicho kibichi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hutembeatembea milimani kupata malisho, na kutafuta chochote kilicho kibichi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hutembeatembea milimani kupata malisho, na kutafuta chochote kilicho kibichi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hutembeatembea milimani kupata malisho, na kutafuta chochote kilicho kibichi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi. Tazama sura |