Yobu 39:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Yeye hudharau mshindo wa mji, Wala hasikii kelele zake msimamizi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hujitenga kabisa na makelele ya miji, hasikilizi kelele ya kumfanyisha kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hujitenga kabisa na makelele ya miji, hasikilizi kelele ya kumfanyisha kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hujitenga kabisa na makelele ya miji, hasikilizi kelele ya kumfanyisha kazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari. Tazama sura |
Maana BWANA aniambia hivi, Kama vile ilivyo simba angurumapo na mwanasimba juu ya mawindo yake, wachungaji wengi wakiitwa ili kumpiga, lakini hatiwi hofu na sauti zao, wala kufanya woga kwa sababu ya mshindo wao; ndivyo BWANA wa majeshi atakavyoshuka ili kufanya vita juu ya mlima Sayuni, na juu ya kilima chake.