Yobu 39:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Watoto wao wako katika hali nzuri, hukua katika bara wazi; Huenda zao, wala hawarudi tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watoto wao hupata nguvu, hukua hukohuko porini, kisha huwaacha mama zao na kwenda zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watoto wao hupata nguvu, hukua hukohuko porini, kisha huwaacha mama zao na kwenda zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watoto wao hupata nguvu, hukua hukohuko porini, kisha huwaacha mama zao na kwenda zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; huenda zao wala hawarudi tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; huenda zao wala hawarudi tena. Tazama sura |