Yobu 39:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Toka huko yeye huchungulia mawindo; Macho yake huyaangalia toka mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kutoka huko huotea mawindo, macho yake huyaona kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kutoka huko huotea mawindo, macho yake huyaona kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kutoka huko huotea mawindo, macho yake huyaona kutoka mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Kutoka huko hutafuta chakula chake; macho yake hukiona kutoka mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Kutoka huko hutafuta chakula chake; macho yake hukiona kutoka mbali. Tazama sura |