Yobu 39:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Hukaa jabalini, ndiko kwenye malazi yake, Juu ya genge la jabali, na ngomeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Tai hufanya makazi yake juu ya miamba mirefu, na ncha kali za majabali ndizo ngome zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Tai hufanya makazi yake juu ya miamba mirefu, na ncha kali za majabali ndizo ngome zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Tai hufanya makazi yake juu ya miamba mirefu, na ncha kali za majabali ndizo ngome zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. Tazama sura |