Yobu 39:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Podo humpigia makelele, Mkuki ung'aao na fumo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kungaa juani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kungaa juani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kung'aa juani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaong’aa na fumo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaong’aa na fumo. Tazama sura |