Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 39:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Yeye hufanyia kicho dhihaka, wala hashangai; Wala hageuki kurudi nyuma mbele ya upanga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Farasi huicheka hofu, na hatishiki; wala upanga hauwezi kumrudisha nyuma.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Farasi huicheka hofu, na hatishiki; wala upanga hauwezi kumrudisha nyuma.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Farasi huicheka hofu, na hatishiki; wala upanga hauwezi kumrudisha nyuma.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Huicheka hofu, haogopi chochote, wala haukimbii upanga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Huicheka hofu, haogopi chochote, wala haukimbii upanga.

Tazama sura Nakili




Yobu 39:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye huwatendea ukatili makinda yake, kama kwamba si yake; Ijapokuwa kazi yake yaweza kuwa ya bure, yeye hana hofu;


Wakati anapojiinua juu aende, Humdharau farasi na mwenye kumpanda.


Huparapara bondeni, na kuzifurahia nguvu zake; Hutoka kwenda kukutana na wenye silaha.


Podo humpigia makelele, Mkuki ung'aao na fumo.


Juu ya nchi hapana aliyefanana naye, kiumbe asiye na woga.


Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kuparapara, na magari ya vita yenye kurukaruka;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo