Yobu 39:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Wakati anapojiinua juu aende, Humdharau farasi na mwenye kumpanda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini akianza kukimbia, humcheka hata farasi na mpandafarasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini akianza kukimbia, humcheka hata farasi na mpandafarasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini akianza kukimbia, humcheka hata farasi na mpandafarasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. Tazama sura |