Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 39:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Yeye huwatendea ukatili makinda yake, kama kwamba si yake; Ijapokuwa kazi yake yaweza kuwa ya bure, yeye hana hofu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Mbuni huwatendea wanawe ukatili kama si wake, hata kazi yake ikiharibika yeye hana wasiwasi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Mbuni huwatendea wanawe ukatili kama si wake, hata kazi yake ikiharibika yeye hana wasiwasi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Mbuni huwatendea wanawe ukatili kama si wake, hata kazi yake ikiharibika yeye hana wasiwasi;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure,

Tazama sura Nakili

Yobu 39:16
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na kusahau kwamba huenda mguu ukayavunja, Au mnyama-pori kuyakanyaga.

Kwa sababu Mungu amemnyima akili, Wala hakumpa fahamu.

Kazi yao wapumbavu huwachosha kila mmoja, Maana hajui hata njia ya kuuendea mji.

Tazama, BWANA, uangalie, Ni nani uliyemtenda hayo! Je! Wanawake wale mazao yao, Watoto waliowabeba? Je! Kuhani na nabii wauawe Katika patakatifu pa Bwana?

Hata mbwamwitu hutoa matiti, Huwanyonyesha watoto wao; Binti ya watu wangu amekuwa mkali, Mfano wa mbuni jangwani.

Angalieni; je! Jambo hili halikutoka kwa BWANA wa majeshi, kwamba watu wajishughulikie moto, na mataifa wajisumbue kwa ajili ya ubatili?

wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo