Yobu 39:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Na kusahau kwamba huenda mguu ukayavunja, Au mnyama-pori kuyakanyaga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 lakini hajui kama yanaweza kukanyagwa, au kuvunjwa na mnyama wa porini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 lakini hajui kama yanaweza kukanyagwa, au kuvunjwa na mnyama wa porini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 lakini hajui kama yanaweza kukanyagwa, au kuvunjwa na mnyama wa porini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 bila kujali kuwa mguu unaweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. Tazama sura |