Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 39:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Kwa maana yeye huyaacha mayai yake juu ya nchi, Na kuyatia moto mchangani,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Mbuni huyaacha mayai yake juu ya ardhi ili yapate joto mchangani;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Mbuni huyaacha mayai yake juu ya ardhi ili yapate joto mchangani;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Mbuni huyaacha mayai yake juu ya ardhi ili yapate joto mchangani;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Huyataga mayai yake juu ya ardhi, na kuyaacha yapate joto mchangani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Huyataga mayai yake juu ya ardhi, na kuyaacha yapate joto mchangani,

Tazama sura Nakili




Yobu 39:14
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bawa la mbuni hufurahi; Lakini mabawa yake na manyoya yake, je! Yana huruma?


Na kusahau kwamba huenda mguu ukayavunja, Au mnyama-pori kuyakanyaga.


Kama ndege aendaye huku na huko mbali na kitundu chake; Ndivyo alivyo mtu aendaye huku na huko mbali na mahali pake.


Kisha utamfaa mwanadamu kwa kuni; hutwaa kipande, akaota moto; naam, huuwasha moto, akaoka mkate; naam, huufanya mungu, akauabudu; huifanya sanamu ya kuchonga, akaisujudia.


Hata mbwamwitu hutoa matiti, Huwanyonyesha watoto wao; Binti ya watu wangu amekuwa mkali, Mfano wa mbuni jangwani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo