Yobu 38:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nilipolifanya wingu kuwa vazi lake, Na giza zito kuwa nguo ya kuifungia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mimi ndiye niliyeifunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza nene. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mimi ndiye niliyeifunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza nene. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mimi ndiye niliyeifunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza nene. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene, Tazama sura |