Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 38:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

41 Ni nani anayempatia kunguru chakula, Makinda yake wanapomlilia Mungu, Na kutangatanga kwa kutindikiwa na chakula?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Ni nani awapaye kunguru chakula chao, makinda yao yanaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na huko kwa njaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Ni nani awapaye kunguru chakula chao, makinda yao yanaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na huko kwa njaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Ni nani awapaye kunguru chakula chao, makinda yao yanaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na huko kwa njaa?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

Tazama sura Nakili

Yobu 38:41
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ukajitwalie chakula cha kila namna kinacholika, ukakusanye, nacho kitakuwa ni chakula chenu na chao.

Humpa mnyama chakula chake, Wana-kunguru waliao.

Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kuliko hao?

Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana ghala wala uchaga, lakini Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!

Tufuate:

Matangazo

Matangazo