Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 38:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

34 Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, ili wingi wa maji ukufunikize?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 “Je, waweza kupaza sauti na kuyaamuru mawingu yakufunike kwa mtiririko wa mvua?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 “Je, waweza kupaza sauti na kuyaamuru mawingu yakufunike kwa mtiririko wa mvua?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 “Je, waweza kupaza sauti na kuyaamuru mawingu yakufunike kwa mtiririko wa mvua?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 “Unaweza kuipaza sauti yako hadi mawinguni, na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 “Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?

Tazama sura Nakili




Yobu 38:34
7 Marejeleo ya Msalaba  

Au je! Huoni giza, Na maji mengi yanayokufunika?


Ni nani awezaye kuyahesabu mawingu kwa hekima? Au ni nani awezaye kuzimimina chupa za mbinguni?


mtafuteni yeye afanyaye Kilimia na Orioni, na kukigeuza kivuli cha mauti kuwa asubuhi, na kuufanya mchana kuwa giza usiku; yeye ayaitaye maji ya bahari, na kuyamwaga juu ya uso wa nchi; BWANA, ndilo jina lake;


Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA aletaye mawingu ya mvua, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi shambani.


Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.


Basi Samweli akamwomba BWANA, naye BWANA akatuma ngurumo na mvua siku ile; nao watu wote wakamwogopa BWANA sana, na Samweli pia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo