Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 38:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Je! Waweza kuziongoza Sayari kwa wakati wake? Au waweza kuongoza Dubu na watoto wake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Je, waweza kuziongoza nyota katika majira yake, au kumwongoza Dubu pamoja na watoto wake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Je, waweza kuziongoza nyota katika majira yake, au kumwongoza Dubu pamoja na watoto wake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Je, waweza kuziongoza nyota katika majira yake, au kumwongoza Dubu pamoja na watoto wake?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Unaweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, au kuongoza Dubu na watoto wake?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, au kuongoza Dubu na watoto wake?

Tazama sura Nakili




Yobu 38:32
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaondosha wale makuhani walioabudu sanamu, ambao wafalme wa Yuda waliwaweka ili kufukiza uvumba katika mahali pa juu, ndani ya miji ya Yuda, na katika kila mahali, pande zote za Yerusalemu; na hao pia waliomfukizia uvumba Baali, na jua, na mwezi, na sayari, na jeshi lote la mbinguni.


Je! Waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia, Au kuvilegeza vifungo vya Orioni?


Je! Unazijua amri zilizoamriwa mbingu? Waweza kuyathibitisha mamlaka yake juu ya dunia?


Yeye afanyaye hizo nyota za Dubu, na Orioni, na hicho Kilimia, Na makundi ya nyota ya kusini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo