Yobu 38:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Je! Waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia, Au kuvilegeza vifungo vya Orioni? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 “Angalia makundi ya nyota: Je, unaweza kuifunga minyororo Kilimia, au kuvilegeza vifungo vya Orioni? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 “Angalia makundi ya nyota: Je, unaweza kuifunga minyororo Kilimia, au kuvilegeza vifungo vya Orioni? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 “Angalia makundi ya nyota: Je, unaweza kuifunga minyororo Kilimia, au kuvilegeza vifungo vya Orioni? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 “Je, unaweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Unaweza kulegeza kamba za Orioni? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 “Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni? Tazama sura |