Yobu 38:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Maji hugandamana kama jiwe, Na uso wa vilindi huganda kwa baridi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 wakati maji yanakuwa magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unaganda? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? Tazama sura |