Yobu 38:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kuishibisha nchi iliyo kame na ukiwa, Na kuyameza majani yaliyo mororo? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 ili kuiburudisha nchi kavu na kame na kuifanya iote nyasi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 ili kuiburudisha nchi kavu na kame na kuifanya iote nyasi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 ili kuiburudisha nchi kavu na kame na kuifanya iote nyasi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake? Tazama sura |