Yobu 38:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Je! Nuru hutengwa kwa njia gani, Au upepo wa mashariki hutawanywaje juu ya nchi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Ipi njia ya kwenda mahali mwanga unapogawanywa, au huko kunakotoka upepo wa mashariki ukasambazwa duniani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Ipi njia ya kwenda mahali mwanga unapogawanywa, au huko kunakotoka upepo wa mashariki ukasambazwa duniani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Ipi njia ya kwenda mahali mwanga unapogawanywa, au huko kunakotoka upepo wa mashariki ukasambazwa duniani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Njia iendayo mahali miali ya radi inapotawanywa ni ipi, au njia iendayo mahali upepo wa mashariki unaposambazwa juu ya dunia? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Ni ipi njia iendayo mahali umeme wa radi unapotawanyiwa, au mahali upepo wa mashariki unaposambaziwa juu ya dunia? Tazama sura |