Yobu 38:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Upate kuipeleka hata mpaka wake, Upate kuyaelewa mapito ya kuiendea nyumba yake? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake? Tazama sura |