Yobu 38:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Ni nani huyu atiaye ushauri giza Kwa maneno yasiyo na maarifa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Nani wewe unayevuruga mashauri yangu kwa maneno yasiyo na akili? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Nani wewe unayevuruga mashauri yangu kwa maneno yasiyo na akili? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Nani wewe unayevuruga mashauri yangu kwa maneno yasiyo na akili? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa? Tazama sura |