Yobu 38:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Iko wapi njia ya kuyafikia makao ya nuru? Na giza pia, mahali pake ni wapi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 “Je, makao ya mwanga yako wapi? Nyumbani kwa giza ni wapi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 “Je, makao ya mwanga yako wapi? Nyumbani kwa giza ni wapi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 “Je, makao ya mwanga yako wapi? Nyumbani kwa giza ni wapi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi? Tazama sura |