Yobu 38:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Hubadilika mfano wa udongo chini ya mhuri, Vitu vyote vinatokea kama mavazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya muhuri; sura yake hukaa kama ile ya vazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi. Tazama sura |