Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 37:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Baadaye sauti hunguruma; Yeye hunguruma kwa sauti ya ukuu wake; Hazizuii hapo sauti yake isikiwapo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Ndipo sauti yake hunguruma, sauti ya Mungu hunguruma kwa fahari na muda huo wote umeme humulikamulika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Ndipo sauti yake hunguruma, sauti ya Mungu hunguruma kwa fahari na muda huo wote umeme humulikamulika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Ndipo sauti yake hunguruma, sauti ya Mungu hunguruma kwa fahari na muda huo wote umeme humulikamulika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake; Mungu hunguruma kwa sauti yake ya fahari. Wakati sauti yake inanguruma tena, huuachilia umeme wake wa radi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake; Mungu hunguruma kwa sauti yake ya fahari. Wakati sauti yake ingurumapo tena, huuachilia umeme wake wa radi.

Tazama sura Nakili




Yobu 37:4
12 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake; Na jinsi yalivyo madogo manong'ono tusikiayo katika habari zake! Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuzielewa?


Hapo alipoiwekea mvua amri, Na njia kwa umeme wa radi.


Zisikizeni hizo kelele za sauti yake, Na uvumi utokao kinywani mwake.


Yeye huituma iende chini ya mbingu zote, Na radi yake hata miisho ya nchi.


Mungu hunguruma kwa kustaajabisha kwa sauti yake; Hufanya mambo makuu, ambayo hatuwezi kuyaelewa.


Au je! Wewe una mkono kama Mungu? Waweza kutoa ngurumo kwa sauti kama yeye?


Akaipiga mishale yake akawatawanya, Naam, umeme mwingi sana, akawatapanya.


Apandaye mbingu za mbingu za tangu milele; Aitoa sauti yake, sauti ya nguvu.


Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni, Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie. Na juu ya mawingu katika utukufu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo