Yobu 37:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Na sasa watu hawawezi kuutazama mwanga ung'aao mbinguni; Lakini upepo ukipita huzitakasa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Ghafla mtu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichika nyuma ya mawingu, na upepo umefagia anga! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Ghafla mtu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichika nyuma ya mawingu, na upepo umefagia anga! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Ghafla mtu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichika nyuma ya mawingu, na upepo umefagia anga! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Basi hakuna awezaye kulitazama jua, jinsi linavyong’aa angani, upepo ukishafagia mawingu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Basi hakuna awezaye kulitazama jua, jinsi linavyong’aa angani, upepo ukishafagia mawingu. Tazama sura |