Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 37:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Je! Aambiwe kwamba nataka kunena? Au kuna mtu ambaye angetamani kumezwa?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Je, nani anathubutu kumwambia: Nataka kuongea? Nani aseme apate balaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Je, nani anathubutu kumwambia: Nataka kuongea? Nani aseme apate balaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Je, nani anathubutu kumwambia: nataka kuongea? Nani aseme apate balaa?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?

Tazama sura Nakili




Yobu 37:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Utufundishe ni maneno gani tutakayomwambia; Kwa kuwa hatuwezi kutoa hoja zetu maana tumo gizani.


Na sasa watu hawawezi kuutazama mwanga ung'aao mbinguni; Lakini upepo ukipita huzitakasa.


Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa bahari; Kwa hiyo maneno yangu yamekuwa ya haraka.


Maana hamna neno katika ulimini wangu Usilolijua kabisa, BWANA.


Lakini BWANA yumo ndani ya hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze kimya mbele zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo