Yobu 37:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Zisikizeni hizo kelele za sauti yake, Na uvumi utokao kinywani mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo inayotoka kinywani mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. Tazama sura |