Yobu 37:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Jinsi nguo zako zilivyo na moto, Hapo nchi ituliapo kwa sababu ya upepo wa kusini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Wewe wajiona umevaa nguo za joto sana, wakati upepo wa kusi unaivamia nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Wewe wajiona umevaa nguo za joto sana, wakati upepo wa kusi unaivamia nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Wewe wajiona umevaa nguo za joto sana, wakati upepo wa kusi unaivamia nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, Tazama sura |