Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 37:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Je! Wajua wewe jinsi Mungu anavyoziagiza, Na kuufanya umeme wa wingu lake uangaze?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Je, wajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kufanya umeme wa mawingu yake ungae?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Je, wajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kufanya umeme wa mawingu yake ungae?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Je, wajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kufanya umeme wa mawingu yake ung'ae?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga?

Tazama sura Nakili




Yobu 37:15
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ni nani aliyemwagiza kuiangalia dunia? Au ni nani aliyemwekea ulimwengu huu wote?


Naam, huyatwika mawingu mazito mzigo wa maji; Hulitandika wingu la umeme wake;


Sikiliza neno hili, Ee Ayubu; Simama kimya, uzifikiri kazi za Mungu za ajabu.


Je! Wajua jinsi mawingu yalivyowekwa sawasawa, Hizo kazi za ajabu za huyo mkamilifu wa maarifa?


Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana moja isiyokuwapo mahali pake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo