Yobu 37:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kama ni kwa kuonya, au kama ni kwa nchi yake, Au kama ni kwa rehema, ndiye aletaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mungu hutekeleza matakwa yake duniani; iwe ni kwa ajili ya kuwaadhibu watu, au kwa ajili ya kuonesha upendo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mungu hutekeleza matakwa yake duniani; iwe ni kwa ajili ya kuwaadhibu watu, au kwa ajili ya kuonesha upendo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mungu hutekeleza matakwa yake duniani; iwe ni kwa ajili ya kuwaadhibu watu, au kwa ajili ya kuonesha upendo wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, au kuinyeshea dunia yake na kuonesha upendo wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. Tazama sura |