Yobu 37:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Kwa pumzi ya Mungu barafu hutokea; Na uso wa maji huganda punde. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kwa pumzi ya Mungu barafu hutokea, uso wa maji huganda kwa haraka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kwa pumzi ya Mungu barafu hutokea, uso wa maji huganda kwa haraka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kwa pumzi ya Mungu barafu hutokea, uso wa maji huganda kwa haraka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda. Tazama sura |