Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 36:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu yeyote; Ana uweza katika nguvu za fahamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 “Sikiliza Mungu ni mwenye nguvu wala hamdharau mtu yeyote; uwezo wa akili yake ni mkuu mno!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 “Sikiliza Mungu ni mwenye nguvu wala hamdharau mtu yeyote; uwezo wa akili yake ni mkuu mno!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 “Sikiliza Mungu ni mwenye nguvu wala hamdharau mtu yeyote; uwezo wa akili yake ni mkuu mno!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 “Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika kusudi lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 “Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake.

Tazama sura Nakili




Yobu 36:5
17 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Ni vema kwako wewe kuonea, Na kuidharau kazi ya mikono yako, Na kuiunga mkono mipango ya waovu?


Enzi na hofu zi pamoja na Mungu; Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka.


Kama nimeidharau kesi ya mtumishi wangu, au ya kijakazi changu, Waliposhindana nami;


Yeye Mwenyezi hamwezi kumwona; Yeye ni mkuu mwenye uweza; Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.


Je! Mimi nitamjibuje, Na kuyachagua maneno yangu kuhojiana naye?


Kama tukitaja nguvu za mashujaa, tazama yupo hapo! Kama tukitaja hukumu, ni nani atakayemwita mahakamani?


Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa, Asiyadharau maombi yao.


Ingawa BWANA yuko juu, anamjali mnyenyekevu, Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.


Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.


Maana hapuuzi Wala kuchukizwa na mateso ya anayeteswa, Wala hamfichi uso wake, Bali humsikia akimlilia.


Kwa kuwa BWANA huwasikia wahitaji, Wala hawadharau wafungwa wake.


Mfalme mkuu upendaye hukumu kwa haki; Umeiimarisha haki; Umefanya hukumu na haki katika Israeli.


Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu.


mkuu wa mashauri, muweza katika kutenda; ambaye macho yake yamefumbuka juu ya njia zote za wanadamu, kumpa kila mtu kwa kadiri ya njia zake, na kwa kadiri ya matunda ya matendo yake,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo