Yobu 35:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Lakini sasa, kwa sababu yeye hakukujia katika hasira zake, Wala hauzingatii sana makosa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Sasa, kwa vile Mungu anazuia hasira yake, wala hajali sana makosa ya watu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Sasa, kwa vile Mungu anazuia hasira yake, wala hajali sana makosa ya watu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Sasa, kwa vile Mungu anazuia hasira yake, wala hajali sana makosa ya watu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo? Tazama sura |