Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yobu 34:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Nijapokuwa mwenye haki, nimehesabiwa kuwa mwongo; Jeraha langu haliponyeki, nijapokuwa sina makosa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Ingawa sina hatia naonekana kuwa mwongo; kidonda changu hakiponyeki ingawa sina kosa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Ingawa sina hatia naonekana kuwa mwongo; kidonda changu hakiponyeki ingawa sina kosa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Ingawa sina hatia naonekana kuwa mwongo; kidonda changu hakiponyeki ingawa sina kosa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Ingawa niko sawa, ninaonekana mwongo; nami ingawa sina kosa, kidonda changu hakiponi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Ingawa niko sawa, ninaonekana mwongo; nami ingawa sina kosa, kidonda changu hakiponi.’

Tazama sura Nakili

Yobu 34:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wapigaji wake wa mishale hunizingira kotekote, Hunipasua figo zangu, asinihurumie; Nyonga zangu amezimwaga juu ya nchi.

Mimi ni safi, sina makosa; Sina hatia, wala hapana uovu ndani yangu;

Kwa kuwa mishale ya huyo Mwenyezi iko ndani yangu, Na roho yangu inainywa sumu yake; Vitisho vya Mungu vimejipanga juu yangu.

Mbona maumivu yangu ni ya daima, na jeraha langu halina dawa, linakataa kuponywa? Je! Yamkini wewe utakuwa kwangu kama kijito kidanganyacho, na kama maji yasiyodumu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo