Yobu 34:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Na tujichagulie yaliyo ya uelekevu; Na tujue wenyewe yaliyo mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, na tuchague lililo sawa, tuamue miongoni mwetu lililo jema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, na tuchague lililo sawa, tuamue miongoni mwetu lililo jema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, na tuchague lililo sawa, tuamue miongoni mwetu lililo jema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa, nasi tujifunze pamoja yaliyo mema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa, nasi tujifunze pamoja yaliyo mema. Tazama sura |