Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yobu 34:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Maana huongeza uasi juu ya dhambi zake, Apiga makofi kati yetu, Na kuongeza maneno yake kinyume cha Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Huongeza uasi juu ya dhambi zake; anaeneza mashaka kati yetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Huongeza uasi juu ya dhambi zake; anaeneza mashaka kati yetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Huongeza uasi juu ya dhambi zake; anaeneza mashaka kati yetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Kwenye dhambi yake huongeza uasi; kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Kwenye dhambi yake huongeza uasi; kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Tazama sura Nakili

Yobu 34:37
11 Marejeleo ya Msalaba  

Hata leo malalamiko yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.

Watu watampigia makofi, Na kumzomea atoke mahali pake.

Tena Elihu akajibu na kusema,

Ndiposa Ayubu hufunua kinywa chake kwa ubatili; Huongeza maneno pasipo maarifa.

Basi ikawa, baada ya BWANA kumwambia Ayubu maneno hayo, BWANA akamwambia huyo Elifazi Mtemani, Hasira zangu zinawaka juu yako, na juu ya hao rafiki zako wawili; kwa kuwa ninyi hamkunena yaliyo sawa katika habari zangu, kama alivyonena mtumishi wangu Ayubu.

Nanyi mmejitukuza juu yangu kwa vinywa vyenu, na kuyaongeza maneno juu yangu; nimesikia mimi.

Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama uovu na kuabudu vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA, Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo