Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 34:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

36 Laiti Ayubu angejaribiwa hadi mwisho, Kwa kuwa amejibu kama watu waovu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Laiti Yobu angechunguzwa mpaka mwisho, kwa maana anajibu kama watu waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Laiti Yobu angechunguzwa mpaka mwisho, kwa maana anajibu kama watu waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Laiti Yobu angechunguzwa mpaka mwisho, kwa maana anajibu kama watu waovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Laiti Ayubu angejaribiwa hadi mwisho, kwa sababu anajibu kama mtu mwovu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, kwa sababu anajibu kama mtu mwovu!

Tazama sura Nakili




Yobu 34:36
10 Marejeleo ya Msalaba  

Hema za wanyang'anyi hufanikiwa, Na hao wamkasirishao Mungu hukaa salama; Mikononi mwao Mungu huleta vitu vingi.


Mbona waovu wanaishi, Na kuwa wazee, naam, na kuongezeka kuwa na nguvu?


Je! Utaifuata njia ya zamani Waliyoikanyaga watu waovu?


Kwa maana Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia, Naye Mwenyezi amenitaabisha;


Mbona nyakati zisiwekwe na Mwenyezi? Na hao wamjuao mbona hawazioni siku zake?


Maana huongeza uasi juu ya dhambi zake, Apiga makofi kati yetu, Na kuongeza maneno yake kinyume cha Mungu.


Umenijaribu moyo wangu, umenijia usiku, Umenichunguza usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose,


Ee BWANA, unijaribu na kunipima; Unisafishe akili yangu na moyo wangu.


Angalieni, twawaita heri wao waliostahimili. Mmesikia habari za kustahimili kwake Ayubu, kuona mwisho Bwana aliyomtendea, jinsi Bwana alivyo mwingi wa rehema na mwenye huruma.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo