Yobu 34:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno, Kama vile kaakaa lionjavyo chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Sikio huyapima maneno, kama vile ulimi uonjavyo chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Sikio huyapima maneno, kama vile ulimi uonjavyo chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Sikio huyapima maneno, kama vile ulimi uonjavyo chakula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula. Tazama sura |