Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 34:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Je! Atatawala mtu aichukiaye haki hata mmoja? Nawe, je! Utamhukumia mkosa aliye na haki na mwenye nguvu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Je, anayetawala ulimwengu kwa sheria zake anachukia haki? Je, utathubutu kumhukumu mwadilifu na mwenye nguvu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Je, anayetawala ulimwengu kwa sheria zake anachukia haki? Je, utathubutu kumhukumu mwadilifu na mwenye nguvu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Je, anayetawala ulimwengu kwa sheria zake anachukia haki? Je, utathubutu kumhukumu mwadilifu na mwenye nguvu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? Je, utamhukumu mwenye haki, yeye Aliye na Nguvu Zote?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote?

Tazama sura Nakili




Yobu 34:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

La hasha! Usifanye hivyo, ukamwue mwenye haki pamoja na mwovu, mwenye haki awe kama mwovu. Hasha! Mhukumu ulimwengu wote asitende haki?


Lakini Abishai, mwana wa Seruya, akajibu na kusema, Je! Shimei hatauawa kwa sababu hii, kwa kuwa amemlaani masihi wa BWANA?


Mungu wa Israeli alisema, Mwamba wa Israeli aliniambia, Atawalaye wanadamu kwa haki, Akitawala katika kicho cha Mungu,


Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.


Ikiwa una ufahamu, sikia neno hili; Isikilize sauti ya maneno yangu.


Je! Inafaa kumwambia mfalme, Wewe u mwovu? Au kuwaambia wakuu, Ninyi ni wabaya?


Ili huyo mpotovu asitawale, Wala pasiwe na wa kuwatega watu.


Je! Hata hukumu yangu utaibatilisha? Utanitia mimi hatiani, upate kuhesabiwa haki?


Tuseme nini basi? Kuna udhalimu kwa Mungu? La hasha!


Tufuate:

Matangazo


Matangazo