Yobu 34:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ikiwa una ufahamu, sikia neno hili; Isikilize sauti ya maneno yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Kama una akili sikiliza; sikiliza ninachokuambia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Kama una akili sikiliza; sikiliza ninachokuambia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Kama una akili sikiliza; sikiliza ninachokuambia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; sikilizeni hili nisemalo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; sikilizeni hili nisemalo. Tazama sura |