Yobu 34:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Ni nani aliyemwagiza kuiangalia dunia? Au ni nani aliyemwekea ulimwengu huu wote? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Je, kuna aliyemkabidhi mamlaka juu ya dunia? Uwezo wake juu ya ulimwengu ni wake peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Je, kuna aliyemkabidhi mamlaka juu ya dunia? Uwezo wake juu ya ulimwengu ni wake peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Je, kuna aliyemkabidhi mamlaka juu ya dunia? Uwezo wake juu ya ulimwengu ni wake peke yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia? Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia? Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? Tazama sura |