Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 33:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Roho ya Mungu imeniumba, Na pumzi za Mwenyezi hunipa uhai.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Roho ya Mungu iliniumba, nayo pumzi ya Mungu Mwenye Nguvu yanipa uhai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Roho ya Mungu iliniumba, nayo pumzi ya Mungu Mwenye Nguvu yanipa uhai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Roho ya Mungu iliniumba, nayo pumzi ya Mungu Mwenye Nguvu yanipa uhai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Roho wa Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Roho wa Mwenyezi Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.

Tazama sura Nakili




Yobu 33:4
11 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa kiumbe hai.


Unanijalia uhai na fadhili, Na kwa uangalifu wako roho yangu imetunzwa.


Je! Ni vema kwako wewe kuonea, Na kuidharau kazi ya mikono yako, Na kuiunga mkono mipango ya waovu?


Ambaye nafsi ya kila kilicho hai i mkononi mwake, Na pumzi zao wanadamu wote.


(Kwa kuwa uhai wangu ungali mzima ndani yangu, Na Roho ya Mungu iko katika pua yangu;)


Lakini hakika imo roho ndani ya mwanadamu, Na pumzi ya Mwenyezi ndiyo impayo ufahamu.


Waituma roho yako, wanaumbwa, Nawe waufanya upya uso wa nchi.


Kwa neno la BWANA mbingu ziliumbwa, Na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.


Mungu BWANA anena, yeye aliyeziumba mbingu, na kuzitanda; yeye aliyeitandaza nchi na mazao yake; yeye awapaye pumzi watu walio juu yake; yeye awapaye roho wao waendao ndani yake.


Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.


Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa kiumbe aliye hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo