Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 33:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Kama una neno la kusema, nijibu; Nena, kwani nataka kukuhesabia kuwa na haki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Kama una la kusema, nijibu; sema, maana nataka kukuona huna hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Kama una la kusema, nijibu; sema, maana nataka kukuona huna hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Kama una la kusema, nijibu; sema, maana nataka kukuona huna hatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.

Tazama sura Nakili

Yobu 33:32
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, nayajua mawazo yenu, Na mipango miovu mnayoazimia kufanya juu yangu.

Hasha! Nisiwahesabie ninyi kuwa na haki; Hata nitakapokufa sitajiondolea uelekevu wangu.

Angalia sana, Ee Ayubu, unisikilize; Nyamaza, mimi nitasema.

Kama sivyo, unisikilize mimi; Nyamaza, nami nitakufunza hekima.

Ikiwa unaweza, nijibu; Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo