Yobu 33:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Ndipo amwoneapo rehema, na kusema, Mwokoe asishuke shimoni; Mimi nimeuona ukombozi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 akamwonea huruma na kumwambia Mungu; ‘Mwokoe asiingie Shimoni, ninayo fidia kwa ajili yake.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 akamwonea huruma na kumwambia Mungu; ‘Mwokoe asiingie Shimoni, ninayo fidia kwa ajili yake.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 akamwonea huruma na kumwambia Mungu; ‘Mwokoe asiingie Shimoni, ninayo fidia kwa ajili yake.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 kumwonea huruma na kusema, ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; nimepata ukombozi kwa ajili yake’: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 kumwonea huruma na kusema, ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; nimepata ukombozi kwa ajili yake’: Tazama sura |