Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 33:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Nyama ya mwili wake huliwa, isionekane; Na mifupa yake isiyoonekana yatokeza nje.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Mwili wake hukonda hata asitambuliwe, na mifupa yake iliyofichika ikatokeza nje.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Mwili wake hukonda hata asitambuliwe, na mifupa yake iliyofichika ikatokeza nje.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Mwili wake hukonda hata asitambuliwe, na mifupa yake iliyofichika ikatokeza nje.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, sasa inatokeza nje.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, sasa inatokeza nje.

Tazama sura Nakili

Yobu 33:21
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nijapokuwa ni kama kitu kilichooza, kinachosinyaa, Mfano wa nguo iliyoliwa na nondo.

Wewe wamshinda nguvu sikuzote, naye hupita aende zake Wabadili sura zake, na kumtuma aende mbali.

Huhisi tu maumivu ya mwili wake, Na huombolezea nafsi yake tu.

Umenishika sana, na kuwa ushahidi juu yangu; Na kukonda kwangu kwaniinukia, kwanishuhudia usoni pangu.

Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.

Mwili wangu unavikwa mabuu na madongoa ya udongo; Ngozi yangu hufumba, kisha ikatumbuka tena.

Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.

Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, Nyama yako na mwili wako utakapoangamia;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo