Yobu 33:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Tazama basi, nimefunua kinywa changu, Ulimi wangu umenena kinywani mwangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Tazama, nafumbua kinywa changu, naam, ulimi wangu utasema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Tazama, nafumbua kinywa changu, naam, ulimi wangu utasema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Tazama, nafumbua kinywa changu, naam, ulimi wangu utasema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Karibu nitafungua kinywa changu; maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Karibu nitafungua kinywa changu; maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. Tazama sura |