Yobu 33:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Hivyo humkinga mtu asiangamie shimoni, maisha yake yasiangamie kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hivyo humkinga mtu asiangamie shimoni, maisha yake yasiangamie kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hivyo humkinga mtu asiangamie shimoni, maisha yake yasiangamie kwa upanga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 kuiokoa nafsi yake na shimo, uhai wake usiangamizwe kwa upanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 kuiokoa nafsi yake na shimo, uhai wake usiangamizwe kwa upanga. Tazama sura |