Yobu 33:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Lakini, Ayubu, nakuomba usikilize hoja yangu, Ukayasikilize maneno yangu yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Sasa, Yobu, sikiliza hoja yangu; sikiliza maneno yangu yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Sasa, Yobu, sikiliza hoja yangu; sikiliza maneno yangu yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Sasa, Yobu, sikiliza hoja yangu; sikiliza maneno yangu yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 “Lakini Ayubu, sasa sikiliza maneno yangu; zingatia kila kitu nitakachosema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 “Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; zingatia kila kitu nitakachosema. Tazama sura |